1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 10.10.2020

Yusra Buwayhid
10 Oktoba 2020

Armenia na Azerbaijan zalaumiana kukiuka usitishaji mapigano. Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona Ujerumani inaendelea kuongezeka. Uingereza yamrejesha nyumbani balozi wake wa Belarus.

https://p.dw.com/p/3jk4z