Matangazo ya jioni 07.12.2019 | Media Center | DW | 07.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya jioni 07.12.2019

Iraq kuchunguza shambulio dhidi ya waandamanaji, ambalo hadi sasa limesababisha vifo vya watu 25 na kujeruhi 130. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel auhimiza Umoja wa Ulaya kushirikiana dhidi ya mabadiliko ya tabianchi. Na, mvua kubwa zasababisha vifo 21 nchini Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Sikiliza sauti 60:00