Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Spika wa bunge la Israel amesema kura ya imani kwa serikali mpya ya Israel inayoweza kumuondoa madarakani Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu baada ya kuongoza kwa miaka 12 itafanyika Jumapili.