Watoto kwenye nchi kadhaa wametumbukia katika mazingira ya kutumikishwa kutokana na athari za kiuchumi zilizosababishwa na janga la virusi vya corona+++Kubadilisha utaratibu wa ulimwengu kunaleta changamoto mpya kwa biashara+++Kundi la wataalam wa masuala ya mazingira wanatoa wito kwa Benki ya Maendeleo ya Afrika, AFDB, kutotoa usaidizi wowote kwa miradi isiyo ya nishati safi barani Afrika.