1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 25.06.2021

25 Juni 2021

Rais wa Aghanistan Ashraf Ghani aanza ziara yake mjini Washington/ Siku 100 za kwanza za uongozi wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan/ Uganda; Wanafunzi wa kigeni waliokwama katika taasisi zao/ Kenya; Uraibu wa kuvuta gundi ni hatari kwa maisha ya mwanadamu/ Wakimbizi 29 wasio na uraia kushiriki mashindano ya mwaka huu ya Olimpiki mjini Tokyo

https://p.dw.com/p/3vWnS