1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 23.06.2021

TSA / S08S23 Juni 2021

Tahmini ya kukaribia siku 100 tangu rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuchukua uongozi wa taifa hilo. Kushinda Ibrahim Raisi katika uchaguzi wa urais uliomalizika nchini Iran, kunamaanisha taifa hilo litaongozwa na wanasiasa wenye misismamo mikali. Je hilo litazua malumbani na mataifa ya Magharibi? Na michuano ya kuwania kombe la mataifa ya Ulaya EURO 2020 inaendelea.

https://p.dw.com/p/3vOtJ