Matangazo ya asubuhi 22.10.20 | Media Center | DW | 22.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya asubuhi 22.10.20

Zimesalia siku kato hadi uchaguzi mkuu wa Tanzania Oktoba 28, je hali ikoje nchini humo? Utasikia utabiri wa mdahalo wa mwisho kati wa wagombea urais wa Marekani kabla ya uchaguzi wa Novemba 3. Na mchakato wa kumpata mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC, unatatizwa na hatua ya Marekani kuweka vikwazo vya kifedha kwa Fatou Bensouda.

Sikiliza sauti 51:59