1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 04.12.20

TSA / S08S4 Desemba 2020

Ethiopia inaelekea wapi baada ya wiki za mapigano ya Tigray? Kuongezeka kwa kina cha bahari ambayo ni matokeo ya mabadiliko ya tabia nchi, kunatajwa na watafiti wa historia kuharibu turathi za pwani ikiwemo majengo na vijiji kwa ujumla katika nchi za Afrika Mashariki na kati. Na, idadi kubwa ya waathiriwa wa virusi vya ukimwi wanakosa kupata dawa kwa hofu ya kupata virusi vya corona nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/3mCzz