Mashambulio ya kigaidi Ulaya | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 01.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Mashambulio ya kigaidi Ulaya

Mashambulio, misako na tahadhari za kutokea mashambulio zinaiweka dunia katika hali ya wasiwasi. Tangu Septemba 11, 2001 Marekani, hata Ulaya imeshambuliwa. Haya ni baadhi ya matukio tangu wakati huo.

Shambulio la kigaidi Ufaransa