1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Martin Luther King Jr.

Martin Luther King Jr. alikuwa Mwinjilisti wa Kimarekani na mwanaharakati aliegeuka msemaji mwenye sauti kubwa zaidi na kiongozi wa vuguvugu la haki za kiraia kuanzia 1954 hadi 1968.

Anakumbukwa zaidi kwa ushiriki wake katika kupigania haki za kiraia kwa kutumia mbinu ya kutotumia vurugu na uasi wa kiraia kwa misingi ya imani yake ya kikristo na akihamasishwa zaidi na harakati zisizo za vurugu za Mahatma Ghandi. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Martin Luther King Jr.