1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marie-Cecile Zinsou - Mlinzi wa Uruthi wa Kiafrika

15 Machi 2017

Urithi wa sanaa ya Afrika unaendelea kupata umaarufu sana. Marie-Cécile Zinsou, na wakfu wake, unaifanya sanaa kufikiwa na umma. Jambo ambalo ni la nadra sana kwani familia nyingi katika nchi za Kiafrika hazima pesa zakutumia kwa kitu kama hicho.

https://p.dw.com/p/2ZF8c