Marais Kabila na Kagame wakutana Gisenyi | Matukio ya Afrika | DW | 12.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Marais Kabila na Kagame wakutana Gisenyi

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amekutana na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, katika mji wa Gisenyi, kwenye mpaka baina ya nchi hizo mbili, katika wilaya ya Rubavu, katika mkoa wa magharibi.

ARCHIV Treffen afrikanischer Staatschefs in Uganda QUALITÄT

Rais Kabila na Rais Kagame

Masuala kadhaa yamejadiliwa katika mkutano, ikiwa ni pamoja na usalama na biashara. Mwandishi wa DW John Kanyunyu alihudhuria mkutano huo, unaweza kusikiliza ripoti yake kwa kubonyeza alama ya kisikilizio hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada