Mataifa matatu ya Afrika Mashariki,Uganda, Rwanda na Tanzania yamedhamiria kufungua Soko la pamoja la Hisa na Mitaji. Josephat Charo amewakaribisha kutoa Maoni mbele ya meza ya duara wataalamu wa masuala ya masoko ya mitaji kuhusu matarajio na manufaa ya nia hiyo ya nchi hizo tatu.