1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Maoni Mtaani" sauti ya vijana wa Mwanza

Sudi Mnette
27 Oktoba 2018

Mjadala "Maoni Mtaani" ulioendeshwa kwa pamoja kati ya idhaa ya kiswahili ya DW na kituo cha Radio cha RFA nchini Tanzania na kujumuisha pia hafla ya kusherehekea ushirikiano wa miaka 20 kati ya Idhaa ya kiswahili ya DW na RFA umetia fora mjini Mwanza.

https://p.dw.com/p/37Gor