1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni mbele ya meza ya duara

24 Aprili 2020

Wakati Ulimwengu ukiwa bado uko kwenye vita dhidi ya virusi vya Corona,  je bara la Afrika limejitayarisha vipi kukabiliana na janga hili? Baadhi ya ripoti zinasema huenda bara hilo llikawa ndio kituo kikuu sasa cha ugonjwa wa COVID 19. Je ni vipi afrika ilivyojipanga pamoja kukabiliana na janga hili? Ndio jambo linalojadiliwa katika kipindi hiki cha maoni kinachoongozwa na Mohammed Khelef. 

https://p.dw.com/p/3bMp8