1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni katika meza ya duara

3 Aprili 2021

Katika Kipindi cha maoni Maoni Bi Zainab Aziz anajadili kwa kina na wachambuzi kuhusu majukumu na changamoto zitakazomkabili rais mpya wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mwanamke wa kwanza kuushika wadhifa huo katika historia ya taifa hilo la Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/3rY5b