Maoni: Je mustakabali wa Burundi ni upi baada ya uchaguzi? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 29.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Maoni: Je mustakabali wa Burundi ni upi baada ya uchaguzi?

Maoni ya wachambuzi leo yanalenga mustakabali wa Burundi baada ya kufanyika uchaguzi wa rais. Rais mteule Evariste Ndayishimiye alipata zaidi ya asilimia 50 ya kura na hivyo hapatahitajika kufanyika duru ya pili ya uchaguzi. Lakini upinzani umewasilisha kesi mahakamani ukidai uchaguzi uligubikwa na visa vya udanganyifu. Je hali itakuwa vipi? Tega sikio usikie uchambuzi mbele ya Meza ya Duara

Sikiliza sauti 39:00