1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiMalawi

Mambo matano makuu ya kufanya ukiwa Lilongwe Malawi

26 Septemba 2023

Lilongwe ni mji uliochangamka wenye mchanganyiko wa utamaduni wa kisasa na asili ya Afrika. Kuanzia makumbusho ya kihistoria hadi mandhari ya kuvutia karibu na mji, lazima kuna kitu cha kumfurahisha kila mmoja.

https://p.dw.com/p/4Wq2J