1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malkia wa vikaragosi

15 Mei 2018

Senta Siller ni mwanamke mdau wa Maendeleo aliyejitolea kwa hali na mali kuwasaidia wanawake wenzie katika jimbo la Punjab,Pakistan.Ni mama wa kijerumani aliyewahi kuwa mkuu wa shule ya sanaa mjini Berlin Ujerumani.Sasa kina mama wa Pakistan wanamtambua kama Malkia wa vikaragosi.

https://p.dw.com/p/2xlMq