Mali: M. Tandina anaweka umeme katika shule | Afrika yasonga mbele | DW | 18.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mali: M. Tandina anaweka umeme katika shule

Mali haizalishi umeme wa kutosha kusambaza kwa watu wote. Nishati ya jua inaweza tu kuwa mkombozi wa Mali, ndiyo maana mhandisi mmoja kijana ana nia ya kuhakikisha mradi unafanikiwa hasa kwenye vijiji vya ndani.

Tazama vidio 03:12

Makan Tandina kutoka Mali analeta umeme katika shule

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com