Makundi ya kuhubiri amani yajitokeza Kenya
20 Februari 2013Matangazo
Kundi moja la Wakenya mashuhuri linalojiita “Group of Concerned Kenyans Initiative” likiongozwa na Kanali Mstaafu Generali Daniel Opande pamoja na wanachama wengine akiwemo Katibu Mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu nchini Kenya, Abbas Gullet, limezindua mpango wa kuwashirikisha wanasiasa kuleta amani wakati wa uchaguzi. Sikiliza ripoti ya Alfred Kiti akiwa Nairobi kwa kubonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo nchini.
Mwandishi Alfred Kiti
Mhariri Josephat Charo