1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugonjwa wa homa ya manjano kwa watoto wachanga

29 Julai 2021

Kulingana na utafiti wa wataalamu, miongoni mwa watoto 10 wanaozaliwa, sita hukumbwa na maradhi ya homa ya manjano. Homa ya manjano inasababishwa na kijenzi chenye rangi ya manjano kilichomo ndani ya chembehai nyekundu kinachoitwa Bilirubin. Zainab Aziz ndiye mtayarishaji wa Makala hii.

https://p.dw.com/p/3yHNA