1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

11 Juni 2021

Karibu katika Makala ya Afrika wiki hii, ambako Amina Abubakar anakuelezea yale yote muhimu yaliojiri katika bara la Afrika ikiwemo kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kufariki kwa rais wa zamai wa Burudi Pierre Nkurunziza pamoja na sababu iliyomfanya rais Musevei kuwateua wanawake wengi katika baraza lake la mawaziri na kuwapa nafasi muhimu.

https://p.dw.com/p/3um7x