1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi 2021

25 Machi 2022

Jina la Abdulrazak Gurnah, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi 2021 linaendelea kugonga vichwa vya habari hata baada ya miezi mitano tangu alipotangazwa mshindi wa tuzo hiyo mashuhuri. DW imefanya mahojiano na Gurnah ambaye kwa asili ni mzaliwa wa visiwani Zanzibar lakini alihamia nchini Uingereza karibu miongo sita iliyopita. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4925x