Jina la Abdulrazak Gurnah, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi 2021 linaendelea kugonga vichwa vya habari hata baada ya miezi mitano tangu alipotangazwa mshindi wa tuzo hiyo mashuhuri. DW imefanya mahojiano na Gurnah ambaye kwa asili ni mzaliwa wa visiwani Zanzibar lakini alihamia nchini Uingereza karibu miongo sita iliyopita. #Kurunzi