1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahasimu wa Sudan Kusini wasaini makubaliano ya kugawana madaraka

Sudi Mnette
6 Agosti 2018

Viongozi wanaohasimiana nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na makamu wake wa zamani Riek Machar, wamesaini makubaliano ya mwisho ya kugawana madaraka.

https://p.dw.com/p/32g21