Mafuriko yawaacha maelfu ya watu Sudan Kusini taabani | Media Center | DW | 08.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mafuriko yawaacha maelfu ya watu Sudan Kusini taabani

Takriban watu 400,000 Sudan Kusini wamebaki bila makao kufuatia mafuriko. Maelfu zaidi ya watu pia wameathiriwa huku mifugo na mashamba yakiharibiwa.

Tazama vidio 01:33