1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafunzo ya Utamaduni kwa kizazi cha sasa

30 Septemba 2019

Fursa kwa vizazi vya sasa na vya zamani kujifunza na kuendeleza utamaduni wao katika mandhari ya kutumbuizwa. Angalia namna kundi la wasanii nchini Uganda walivyoanzisha tamasha la kila mwezi ambapo watu watapata fursa ya kujifunza utamaduni wao.

https://p.dw.com/p/3QVqI