Madhara ya vyakula vya ngano | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 04.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Madhara ya vyakula vya ngano

Je unafahamu kwamba vyakula vya ngano vinaweza kukuletea madhara ikiwa hukula muda mrefu. Msikilize mtaalamu wa afya akilizungumzia hili hasa katika wakati huu muhimu wa mfungo wa Ramadhani.Video na Hawa Bihoga. #Afyanadksizya #Kurunzi 04.05.2020

Tazama vidio 01:34