1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madhara ya picha au video za faraghani kusambaa mitandaoni

Bruce Amani Alakonya12 Novemba 2018

Baadhi ya vijana na wasanii hujikuta taabani baada ya picha au video zinazostahili kuwa za siri kusambaa mitandaoni. Katika siku za hivi karibuni, tatizo hili limejitokeza kwa baadhi ya wasanii nchini Tanzania. Katika makala ya Vijana Mchakamchaka, Bruce Amani anaangazia suala hilo pamoja na madhara yake

https://p.dw.com/p/386Qq