1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maadhimisho ya miaka 100 ya Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia

Mohammed Abdulrahman Mohammed8 Novemba 2018

Msikilize Mohamed Abdulrahman akikueleza mengi kuhusu kumbukumbu hizo katika makala ya Mwangaza wa Ulaya 

https://p.dw.com/p/37rtr

Viongozi wapatao 70 hadi 80 wa dunia akiwemo Rais Donald Trump wa Marekani na Mwenzake wa Urusi Vladimir Putin, mwishoni mwa jumahili wanatarajiwa kujumuika katika mji mkuu wa Ufaransa Paris kwa sherehe ya kuadhimisha miaka 100 tangu kumalizika vita vya kwanza vya Dunia.