Maabara ya kilimo yazinduliwa nchini DRC | Matukio ya Afrika | DW | 09.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Maabara ya kilimo yazinduliwa nchini DRC

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Félix Tshisekedi akiwa ziarani mjini Bukavu amezindua maabara ya utafiti wa kilimo itakayo changia kupambana na njaa na umaskini mashariki ya DRC. Maabara hii ilijengwa na Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo katika maeneo ya Kitropiki ili kupambana na umaskini na baa la njaa. Mwandishi wetu Mitima Delachance anasimulia.

Sikiliza sauti 02:30