1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Léopold Senghor: Mfungwa aliyekuja kuwa rais

Yusra Buwayhid
13 Februari 2020

Léopold Sédar Senghor anazingatiwa kama mmjoa wa viongozi mashuhuri, mshairi na msomi barani Afrika. Baada ya kukamatwa mateka wakati wa vita vya pili vya dunia, alikuja kuwa rais wa kwanza wa Senegal.

https://p.dw.com/p/3Xj12