1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lissu: Ilani ya CHADEMA ni bora kuliko vyama vingine

Dotto Bulendu3 Septemba 2020

Mwandishi wa DW Dotto Bulendu amefanya mahojiano na mgombea wa chama cha upinzani Tanzania Chadema Tundu Lissu na kwanza amemtaka aeleze ni kwanini anadai kwamba ilani ya chama chake ni bora kuliko ilani ya vyama vyengine vyote. Sikiliza mahojiano kamili.

https://p.dw.com/p/3hwTM