1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Lesotho

Rasmi ni Falme ya Lesotho, ni taifa dogo lililozungukwa na Afrika Kusini. Lina ukubwa w akilomita za mraba 30,000 tu na wakaazi wanaozidi kidogo milioni mbili.

Lesotho ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Madola na Jumuiya ya Maendelea ya Mataifa ya Kusini mwa Afrika SADC. Jina Lesotho linamaanisha kimsingi taifa la watu wanaozungumza lugha ya Sesotho. Wenyeji asili wa eneo linalojulikana leo kama Lesotho ni watu wa kabila la San na wakati huo lilikuwa likijulikana kama Basutoland – au taifa la Basuto.

Onesha makala zaidi