Lavrov na Tillerson wakutana huku mvutano ukishamiri | Media Center | DW | 12.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Lavrov na Tillerson wakutana huku mvutano ukishamiri

Mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na Urusi wakutana mjini Moscow huku marais wao wakipigana vijembe, Polisi wa Ujerumani wamkamata mshukiwa wa shambulio la mjini Dortmund, China yamtaka Trump kuacha vitisho vya vita dhidi ya Korea Kaskazini, na mateka wanane wakombolewa kutoka mikononi mwa maharamia wa Kisomali. Papo kwa Papo

Tazama vidio 01:42