1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kyari: Mwanamfalme anayesaidia watoto walioathirika na vita

14 Septemba 2021

Makala ya Vijana Mubashara hii leo inamuangazia Abba Kyari Abatcha, mwanamfalme kutoka mji mkuu wa Maiduguru unaofahamika sana kama chimbuko la wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria. Kyari ameanzisha wakfu unaowasaidia watoto walioathirika kisaikolojia na machafuko katika jimbo la Borno.

https://p.dw.com/p/40Kb5