SiasaKutana na Beanie, mtoto wa kihararaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa01.02.20171 Februari 2017Baada ya kuzaliwa katika Bustani ya Wanyama London, Beanie alikuwa na mwanzo mgumu. Mamake alimkataa hivyo kitoto hicho cha kiharara kikalazimika kutafuta penzi kwengine. Dubu la kuchezea ndilo rafiki na mamake mbadalahttps://p.dw.com/p/2WnvoMatangazo