1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kurunzi Afya: Dalili hatarishi kwa mjamzito

26 Julai 2021

Shirika la afya duniani WHO, linasema zaidi ya wanawake laki 300,000 hufa wakati wa ujauzito na kujifungua kote duniani. Na hizi ni miongoni mwa dalili hatarishi kwa mama mjamzito. Video na Veronica Natalis. #Kurunziafya 26.07.2021

https://p.dw.com/p/3y43y