1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kupungua kwa kiwango cha uzazi nchini Italia

Daniel Gakuba
18 Septemba 2019

Kupungua kwa kiwango cha uzazi nchini Italia, ambako ni changamoto kwa mustakabali wa nchi hiyo. Je, kupungua huko kunaakisi kukosekana kwa imani kwa mfumo wa kisiasa nchini humo, ikizingatiwa kuwa Italia imekuwa na serikali 66 katika kipindi cha miaka 74 tu. Ungana na Daniel Gakuba katika makala ya Mwangaza wa ulaya kufahamu zaidi

https://p.dw.com/p/3PoHN