1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kujumuishwa kwa sekta ya kibinafsi Jumuiya ya Afrika Mashariki

9 Agosti 2019

Wafanya biashara na wakurugenzi wakuu wa makampuni yanayowekeza katika mataifa ya Jumuia ya Afrika Mashariki wamekutana jijini Nairobi wiki hii kutathmini hali ya kibiashara kwenye sekta binafsi.

https://p.dw.com/p/3Ndap