Kongamano kuhusu elimu lafanyika mjini Mombasa,Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 14.09.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano kuhusu elimu lafanyika mjini Mombasa,Kenya

Kongamano la siku tatu kuhusu elimu kama chombo cha kuleta amani limeanza leo mjini Mombasa,Kenya.

Mawaziri wa elimu kutoka mataifa yaliyokumbana na migogoro ya kivita barani Afrika wanakutana mjini Mombasa, Kenya kuhudhuria kongamano la siku tatu kuhusu elimu kama chombo cha kuleta amani katika ukanda huo. Mwandishi wetu Eric Ponda kutoka Mombasa anahudhuria kongamano hilo na ametuandalia taarifa ifuatayo:

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com