Kombe la Dunia 2018: Timu 32 zinazoshiriki | Mada zote | DW | 03.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Michezo

Kombe la Dunia 2018: Timu 32 zinazoshiriki

Jumla ya mataifa 32 yatawakilishwa katika Kombe la Dunia la FIFA nchini Urusi. DW inaagalia timu zote zitakazokuwa katika mashindano hayo ya 2018