1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kodi

Ulipaji wa kodi unachukuliwa kuwa wajibu wa kiraia, lakini mara nyingi tunasikia watu wakilalamika juu ya makato hayo ya kila mara - na hasa kutokana na sababu kwamba siyo aina zote za kodi zinaleta mantiki kiuchumi.

Na baadhi ya nyakati, ni misamaha ya kodi wanayopewa baadhi ambayo wengine wanaiona kama dhuluma kubwa, kwa sababu wao hawapewi makubaliano sawa ya kiupendeleo. Ukurasa huu unakusanya maudhui za DW kuhusu mada hiyo.

Onesha makala zaidi