Kiswahili kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki | Media Center | DW | 21.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kiswahili kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki

Jumuiya ya Afrika Mashariki inapanga Kiswahilii kiwe lugha rasmi ya mawasiliano kwenye jumuiya hiyo ambayo inayyozikutanisha Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini, lakini wako wanaohofia kuwa hatua hiyo itaufanya utamaduni wa Mswahili kuwa ndicho kielelezo rasmi cha Afrika Mashariki. Prof. Pacifiki Malonga wa Chuo Kikuu cha Utalii na Biashara cha Rwanda anajadili wasiwasi huo.

Sikiliza sauti 10:17