1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipindi cha Salamu na Muziki

Angela Mdungu-Jokisch/MMT26 Februari 2021

Kwenye kipindi cha Salamu na Muziki, kwa mara nyingine mwenyeji wako ni Angela Mdungu. Kwako ewe shabiki, jongeajongea usikilize salamu kutoka kwa wenzako na vilevile zako zikipeperushwa kuwafikia walengwa huku ukiburudika kwa muziki.

https://p.dw.com/p/3pwwk