1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipi kilichojadiliwa katika semina ya kimkakati Vienna?

Sudi Mnette22 Desemba 2022

Semina ya mawasiliano ya kimkakati kwa maafisa wajumbe mbalimbali na wawilikishi wa vijana na kampeni ya Sauti Yetu, Muskatabali wetu imehitimishwa kwa kuwekwa malengo mbalimbali mjini Vienna, Austria. Mkutano huo uliwakilishwa na vijana wawili wa Kitanzania. Sikiliza mahojiano kati ya Sudi Mnette na balozi wa Kampeni ya Sauti Yetu, Mustakabali Wetu Paul Peter Siniga.

https://p.dw.com/p/4LJXs