Sikiliza mahojiano ya wiki hii katika Kinagaubaga kati ya Mohamed Abdulrahmani wa DW na Makamu wa rais wa zamani wa Kenya Moody Awori.
https://p.dw.com/p/16mn9
Matangazo
Mjadala huu ni kuhusu hali ya kisiasa nchini Kenya na hasa wakati huu taifa hilo likiwa katika mchakato wa kuelekea katika uchaguzi mkuu Machi mwakani.