Makala ya Mbiu ya Mnyonge safari hii inawaangazia baadhi ya wakaazi wa mitaa ya mabanda katika mji mkuu wa Kigali wote wakiwa na kilio kimoja: Ukosefu wa uadilifu na kutotendewa haki na mamlaka zinazowahamisha kwa nguvu bila kuwalipa fidia inayostahiki. Msimulizi ni Mohammed Khelef.