Kijana mboresha lishe wa Dar es Salaam | Afrika yasonga mbele | DW | 08.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Kijana mboresha lishe wa Dar es Salaam

Sirjeff Dennis pamoja na kukulia katika katika moja ya maeneo duni katika mji mkubwa kabisa Tanzania alianza kilimo akiwa chini ya miaka 18. Kazi yake imechochewa na moja ya kumbukumbu zake za zamani kabisa: alishuhudia mtoto akifa kwa utapiamlo.

Tazama vidio 03:31